
#MESHers!! Thanks sana for engaging kwa hii group and making it productive for the community! Hii ni safe space ya ku-share experiences zako kuhusu loans na pia kubonga na wasee wako na experience fiti na loans. Ni #Opportunity ya ku-learn, ku-share na ku-grow. Mnadai kujua nini kuhusu loans in general? #BusinessLoans #JengaBiz
0
0
0