Meshers, tuaddress Gikomba kidogo.
Govt ilisema ile area karibu na Nairobi River ni riparian land na eviction notice ilikuwa imetolewa, ika-expire before demolition ya jana. Saa hii tunasikia pia proposal ya new Gikomba market ya around KSh 3B.
Lakini kabla ya hizo billions, kuna reality ya ground: traders wamepoteza stock, structures na income ya leo hadi kesho.
Poleni sana kwa wote mmeathirika 🙏
Kama community, tu-share hapa:
1️⃣ Hii situation imewaguza aje?
2️⃣ Kitu moja ungependa serikali ifanye right kwa hiyo “new Gikomba” ni nini?
0
0
0