Meshers, tuongee biashara!
Wewe kama mfanyibiashara, umefika target yako ya leo ama bado unangoja customers wa mwisho? 😂
Na si mauzo tu tunaulizia hapa… umepata profit ulipanga kupata leo? 👀
Tuambiane ukweli, biashara leo imekubali ama imekataa? 😂ðŸ˜
#Meshers #Kujengana
0
0
0