Meshers 😄 Unaenda shop hapo Moi Avenue kubuy kiatu… unaambiwa ni 8,500. Unapiga shughuli ya kubargain mpaka 5,500… muuzaji anakataa. Ukianza kuwalk out anakuita, “Chukua tu… lakini ujue nimeenda hasara, nakuweka kwa book ya debtors” 😅 Wewe unafurahia ukijua umefanya deal safi 🔥 Ukivuka upande ya Ronald Ngala Street unaona same shoes… unaingia tu kuuliza bei. Unaambiwa, “Hii ni 4,500 lakini naweza kuachia na 3,800.” Hapo ndio unarealize… biashara ni akili 🧠 Nguvu ni kijijini 😂 Lesson kwa Meshers: Sio kila “good deal” ni good deal… market ni mchezo wa akili. Tafuta info, compare prices, usikimbilie pressure ya seller. #Kujengana 💪
0
0
0