
Meshers unajua siri ya social media apart from kujua current affairs za state na trendings?
Nakuchapia ukiwa na connection i.e data ama wifi unaeza get connected pale twitter, Instagram, Facebook na hata kwa WhatsApp bila kusahau hapa App ya Mesh. Biz yangu husonga through posting me hudo on social media platforms.
With that naget wasee wanadai services zetu na nieze kujenga maboyz.. Example ni hii interior tulifanyia bukla jamo hapa Kanairo. Si ni kazi safi ya pallets? Nilink basi na tulinkiane. 0768407105
Get Connected Meshers #kujituma



0
0
0