Meshers, wakenya wenye wako kwa biz generally ni wakora, hata kama si wote! 😂😂
Wakuu, mshaenda kununua makaa mkashangaa venye hizo mikebe zimefinywa? 😂 Unaweka makaa ya mia tatu, lakini kupika ugali mpaka iive inakuwa shida! Unaanza kujiuliza kama ulinunua makaa ama ulipewa donation. 😂ðŸ˜
Then kuna hawa wasee wa kuuza waru kando ya barabara. Ukichunguza hizo ndoo wanatumia kupimia waru ama beans, unapata mchezo ni ule ule! 😂😂
Na hii tabia imefika hadi kwa wale wasee wa kuuza mchanga wa kujenga na ballast. Unapata wamechomelea mabati chini ya lorry ili mchanga ionekane mingi, kumbe wamekupunguzia quantity! ðŸ˜ðŸ˜‚
Meshers, kwani biashara imekuwa survival of the fittest? Ama bila kumchanganya customer kidogo huwezi survive kwa soko? 😂😂
Ebu niambieni, mshapatana na hawa wakora kwa biashara? Na ni biashara gani mlishawahi nunua kitu mkajua mmechezwa? 👀😂