
Meshers watermelon ishawai anguka from ksh 55 per kg to ksh 17 a just as I was to harvest.
Sat hapo na 6 tonnes of produce with no backup on value addition or transportation means to market.
Nilikua naita watoi wakijiji wakule wakini chekesha ndio nisikufe depression,sa hizi huwa nikiona jembe nashikwa na PTSD 😪😂 Kuna biz gani ushawai fanya mpaka leo hutaki kurundia meshers?

0
0
0