Meshers wenye mko kwa agribiz, kuna beste yangu amenishow kitu nikamrumia. 😪
The guy is from Western Kenya. Alikodi shamba ya 17 hectares, akaingia farming na hopes za kuvuna vizuri. Akapanda beans, akafanya kazi yake, akingoja siku ya kuvuna.
Lakini mambo hayakuenda vile alitarajia. From 17 hectares, amepata five bags pekee. Five bags, Meshers! Hiyo ni kama shamba yote iliamua kumghost. ðŸ˜
Hii ndio reality ya farming ambayo watu wengi hawapendi kuongea about. Unaweza kuingia na capital, ukodishe shamba kubwa, ununue mbegu, fertilizer na ulime hadi mgongo ikupe notice ya strike, lakini mwisho wa siku market, weather, pests ama poor planning zikupige kuliko vile ulitarajia.
Na hii ndio sababu watu wengi huona farming kama burden. Si ati hawapendi kulima, but the risk ya kupoteza everything you invested in one season inaweza kukufanya uogope kujaribu tena.
Comrades, farming si kupanda tu na kusubiri mvua. Ni business inahitaji research, proper budgeting, market ya uhakika na kujua risks before you commit your money.
Meshers wenye mko kwa agribiz, what could have gone wrong kwa hii case ya 17 hectares na five bags? Was it the seeds, weather, soil, pests, poor farming practices ama lack of proper planning? Tuambiane kwa comments.
#kujengana 🌱