
Meshers wenye mko kwa mtumba biz, mko na GPS ya bei ama ni intuition mnatumia? 😂
Mimi nilienda Gikosh naskia tu, “Kumi! Kumi! Kumi!” Nikakimbia nikachagua fast-fast... excitement ikipiga 100%.
Nikauliza bei... akaangalia juu kama ana-download info kutoka kwa cloud, akasema, “Hii ni msoo, ni 350!” 😭😭
Nikabaki nikiuliza, kumi ilikuwa nini? Hii mtumba ni mazee ya IQ, speed na boldness! 😂
#MtumbaChronicles #GikombaNipeane #MeshersTushikane

0
0
0