
Meshers Wenye mko kwa youth groups kama sis, what are those business ideas zenye ziko na success story zenye mlifanya as a group and profit zenyewe how did you share?S Sisi tumekuwa na idea ya kufanya Event Management Gig with payments/profit share ikitokana na vile job iko and who participated hio siku, but major returns going to improvement ya group yetu. #JengwaNaMesh

0
0
0