Meshers wenye mko na shop/bar/kibanda Nairobi, kuwa alert! ⚠️ Kuna watu wanazunguka wakijifanya mafundi wa kampuni za fridge (wanasema ni wa Frigorex). Wanaomba “servicing/inspection” halafu wanaiba thermostat ya fridge bila ujue. Baadaye fridge inaanza kukataa kupoa na unatumia pesa kwa repairs. ✅ Usiruhusu mtu bila ID + appointment, na confirm na kampuni kwanza. #ScamAlert #NairobiBusiness
0
0
0