
MESHers wenye mko na shops, kiosk's ,mini matts ama kibandaski it's time To fill those fridges na freezers zikae on Tu and full coz maji baridi,soda,juices,yogurts,maziwa ,pia energy drinks na ice cream zitasell Sana with this kind of Joto. Na kama huna fridge pia usijali weka maji ikue donge Kwa fridge ama freezers ya beshte ikishakua donge then mwaga hizo donge za frozen water Kwa ndoo then weka maji yako ya kusell hapo ,soda,majuices ma energy drinks,mayoughurt...take advantage of this hot weather. Pia natural blended juice Inaweza Sana.
Businesses are all about producing items or services to sell, meeting a particular need for society, and get a profit in the process.


0
0
0