#MeshFinFit Hustlers fund. Mi huchukua na after a week nalipa na imekua inanisaidia Sana kwa biz juu nikipata extra asset mi hu borrow na kulipia whereby profit natengeneza hulipia Deni na Ile ingine na save