#Meshgivers. During the planting season nilikuwa able kuhelp farmers kwa kuwa supplyia farm inputs at a cheaper price na kuwa educate on new farming methods wakati walipokuwa wakitayarisha mashamba yao kupanda. Pia kupalilia shamba na watakapo vuna mazao yao kutoka kwa mashamba. Hii kazi huwa ina challenges but naipenda sana ku Help farmers kuvuna mazao poa na yenye kuridhisha.
0
0
0