#Meshgivers# hii mwaka nimemobilize street families Kayole for feeding programs mara tatu so far. Pia kuwapea masks na sanitizers.