
#MESHgivers mimi ni jonah th kinyozi man in Bungoma,biashara yangu imekuwa ikigrow this year after corona chuo zikaopen nikacheky zii nimetoka background fee inasumbua I came across several studees wa highschool wanalia feee and i decided to support sai na sponsor student mmoja anasoma form 3, namlipia fee monthly with only 2500 hundred na huyo study ako chuo hakuna issue yakufukzwa with time a will sponsor many lets keep the mesh spirit always, my thanks ni kwa mesh family mwanzo wasee sai wanakam base yangu sana juu wanajuwa mimi ni mesh member and i also give back to them
0
0
0