#MESHgivers. Niko na kaduka ka stima mtaa saika. Uwa nikapata kazi ya wiring ama piping naita majamaa wa mtaa tunaenda kufanya pamoja nikiwafunza kazi ya stima na pia kukienda game we share story za kujiinua ki-hustle.
0