
#MESHkonnect tuko LIVE! ๐๏ธ Leo ni fire๐ฅ๐ฅ tunabonga na members wamebobea kwa Biz ya #Kinyozi na #Hairdressing๐โโ๏ธ. Karibu kwa discussion ya leo tunabonga na MESHer's wenzetu na stori yao ni deadly manze. Tuskie kutoka kwa @[Albanus The barber] na @[Nixon Tash] vile wame-sustain successful #Hustle kwa hii sector. Tuchapiane hapa๐๐ kwa comments na questions/ideas/suggestions.....Twende kazi host wetu leo ni @[Captain Ashok]๐ฅ
0
0
0