
#MESHkonnect tuko LIVE! 🎙️ Nani alidai ma-youth hawatoboi #FARMING? Karibu kwa discussion ya leo tunabonga na young MESHer's in #Farming, stori yao ni deadly manze. Tuskie kutoka kwa @[Justus Babz] na @[VINCENT OKETCH] vile wame-sustain succesfull #Hustle in farming. Tuchapiane hapa👇👇 kwa comments na questions/ideas/suggestions.....Twende kazi mi ni host wenu @[Captain Ashok]
0
0
0