
π₯π₯π₯ #MESHmentorship LiveποΈ Ina-happen Leo 2PMπ
Members wengi wameuliza:
Naeza anzisha #Biz na #Capital kiasi kama 2K? π€ Naeza chapa Biz gani na mi ni #Student?π§πΎβππ€
YES it's possible! Leo tuko privileged kuongea na #MESHmentor ambaye alianzisha hustle ya #Baking ππ₯ͺ/ #Pastry π°π na capital ya 2K na aka-sharpen knowledge kupitia online videos ku-build #Biz yake na sasa imekua established.
Discussion itakua around:
- #StartingBiz na bado wewe ni #Studehπ§πΎβπ
- Ku-get #Capital ya ku-boost hustle
- #Marketing
- #ProductDifferentiation
- #Saving
Vile si husema hapa MESH, you don't have to start big, come na hio #idea/ #swali ama any #advice kuhusu hizi topics tutachanuliwa na #Mentor wetu #Ann a.k.a @[A&A Bakers] Kumbuka ni 2PMππππ
0
0
0