
🙌#MESHmentorship LIVE 🎙️ #Thursday! #GivingBack to the #Community ama #Mtaa tunaishi ni muhimu sana tunapo chapa #Biz.👌 MESHers wameonyesha desire yao kuomoka pamoja na Community at large na pia ku-make impact in our small unique ways.
Leo tuko na one of the most celebrated young #Mentors bazenga John Mwangi A.K.A #MCgasembe aki-lead #Group inaitwa @[VOICE OF DAGO Youth group] ambao wame-dedicate maisha yao ku-educate community on : #DrugAbuse #SexualHealth #Advocacy #SocialJustice
@[Captain Ashok] ata-host hii show today Thursday 2PM 🕑 kila MESher ako na responsibilty ya ku-give back to the society. Tujipange na maswali/ideas/suggestions hii si show ya kuhata manze...................🔥🔥🔥🔥
0
0
0