
#MESHmentorship ni Leo Thursday 2PM!🕑
Ni wapi unaeza-get #FREE #Mentorship services kujenga #Hustle yako isipokua MESH Community?🤔🤔 Yep, one of our best @[Dj Falela] ata-offer #Mentorship on #DJ'ing #Music na #Entertainment kwa members wako kwa hizi Industries ama wanatarajia ku-join. Tusi-miss hii opportunity ya ku-sharpen #skills zetu. Tujipange na maswali ama anything we would like to know juu ya hizi #Biz Kama kawa #Champion wetu @[Captain Ashok] ata-host show ya leo.
0
0
0