
#MESHmtaaYangu. Naitwa Victor na nawakilisha Brooke Town, Kericho aka #BrooklynTownKCO. Hustle yangu ni ya cyber cafe na kufunza computer packages hapa besides kuwa distributor wa Shujaaz. Everyone from Brooklyn town weka hio hashtag💪💪💪 #Mesh #Shujaaz #Onelove
0
0
0