Met. Dpt. ilikuwa ime predict heavy rain kwa region yangu, it never happened.
Seasons zinabadilika, na mvua haieleweki.
Wakulima wanaweza kuadapt vipi?