Mi electrician nimekuwa nai nikifanya na kampuni Fulani tho siezi mention jina but niko experience Fulani... Mi hudeal na CCTV , electric fence and wiring za hao pia overhead najua ... Tho sahi nataka wasee wakam up na ideas tushikane mikono ili tuwe kitu kimoja... Tuseme msee ameget job big atume huko wasee ili tuweze kujengana ...
0
0
0