Mi hua natumia formulated excel sheet ambayo hunisaidia ku keep track ya sales na expences, every month na generate a small report on both ndio nione biz kama imemake kitu ama nimeenda lose