
Mi huchora mindmap ya biz yangu kila Sunday—si ya notebook, ni kwa app ya AI (inaorganize kila idea kama flowchart). Hapo ndo napanga orders, deliveries, hadi content ideas. Hakuna kuhangaika Monday—naanza kama CEO mwenye script! Siri yangu ni Writing, huwa nanote down kila kitu imehappen kwa biz
0
0
0