Mi hufanya branding ya matshirt,hoodies,kofia na promotional items kama biro,note books,tote bags Niko located rongai na tao hapo embu centre.