
Mi hufanya hustle zote but kuna Ile yenye napenda koz it's a skill nilipata long time ago i.e Kunyoa...nilifanya Kwa around 3 Barbershops around Komarock Kayole wananijua for around 4 years nikisave Hadi nikafungua kinyozi yangu...but things haven't gone fine ..nilifungua ya Kwanza nikafunga reason ilikuwa rent ya hiyo hao ya biz..nilikuwa nimepata customers wengi through the Corona period..though biz ilienda down but nikajinyima worked hard pesa nilikuwa napata zote zilikuwa zinaenda Kwa rent till nikaloose hope nikafunga...nikafungua ingine after like 3months the same case happened but hii was worse biz was down from the start to the end..nilikuwa nafanya solo the rent was high for me alone....right now am stranded sina job asking for any job vacant or advice I'll appreciate