
Mi huona wasee wengi wanachoma light setup kwa shoots. But huwezi underestimate ‘three-point lighting’ Hua inakuletea dimension na depth, na subjects zako zinapop. Kuna key light (main light), fill light (ya kupunguza shadows), na backlight (ya ku-separate subject na background). Hii setup husaidia sana kuavoid flat images.

0
0
0