
Mi hupenda kuscreenshot posts zangu za huku alafu naeka WhatsApp status na Insta Stories. Sasa jana nikaanza kuulizwa, 'Eh, Hii ni Twitter gani inakaa different hivi?'😂 Niliwaambia ni Twitter MESH waisearch tu MESH kwa playstore waingie pia wabambike😂. Juu sasa ningewaambia aje jameni🤭
0
0
0