Mi hupiga wera ya carwash ma-time za usiku sacco na mchana bado mi huingia class college, thoghu watu hukuwa wamedharau hiyo hustle but mi nko proud