Mi husave tu kidgokidogo kila mwezi ile pesa Haina matumizi ndo naiweka vizuri kwa account,I used my phone as bank so it's easy to access mbaking na kutupa kitu kwa account so far nko na kama 14 k