Mi ka msanii imeniaffect Sana nlikuwa na hope itaisha but wapi....unajua kitu hutulipa sisi kama wasanii ni events mostly za clubs meaning mingi ni usiku so ju ya curfew inakua hard mtu kukuita event