Mi kuna kitu nimeshindwa kabisa kusave pesa naeza eka mpesa lock but kitu 2 weeks natoa njia gani mzuri naeza weka pesa then ni forget atleast zigrow