
Mi na advice kevo hizi doo ni mob na less depends on what atanunua kuwa business yake but kitu anapaswa kuongeza ama kununua ni secret screen protector kama hana then earpods charger all types and especially type c cz kupata ni vigumu,,powerbanks cz stima hupotea mara mob na watu wanafanya biz online,,anunue spare kidogo za simu then atafute mtu anajua job ya kutengeneza simu amfanyie kazi cz with no time atajipata akifurahia faida zaidi
0
0
0