
Mi nadai advice, nauza viatu online na si mbaya vile but challenge ni
- Mi huchukua loans kwa hizi ma apps kuongeza stock so nikiuza I take the money enye nimemake nayo sales kulipa apps so sibaki na kitu ya maana, nataka kuacha ndio niwe financially stable but ntaacha aje considering biz kuna time iko juu kuna time iko down.
- Kutransist from online to physical shop as in how expensive is a shop in a place ka tao, ntaanza aje vile bado biz ni ndogo
Mi mtu akanishika tu mkono utakuwa umenisaidia sana
0
0
0