
Mi naeza sema the person mwenye ameni inspire ni bro yangu coz there is this time niliget involved kwa road accident and ilinibring down sana na nkakosa meaning ya life but alitake a step ya kuniget back to my feet alinipea Dooh kiac ya kuanzisha bizna na Bado akanifunza how to save so that I can invest in some other biznas journey imekua ngumu kwanza hii tym corona imetuhit but I managed it through my savings na sahi am really doing well thanks to him he is a Godfather to me #GodfatherChallange
0
0
0