
Mi naitwa Alphine and me huuza ladies clothes especially mtumba dresses niko located along kangundo road also me hufanya delivery's ladies dresses are my best sold products because we all know not all ladies hutaka kuonekana kama wamechapa Kila dem anataka ang'are aonekane smart Also nguo za madem kuna vile ziko cheap alafu madem hupenda kujibonga Usually unapata customer anakuambia umuwekee nguo then once she's done paying anachukua #productpride


0
0
0