Mi naitwa amoh. Ama captain. Me hufanya job za delivery na bodaboda within Nairobi. Niko based Nairobi CBD. Delivery zangu ni general azin anything yenye inaweza bebeka na boda.