
Mi naitwa @[Maureen Irungu] na hope kila member ako poa. Nataka kuambia ma-youth wenye hawana #Job ng'ang'ana upate #Hustle ya kujiandika. Uza mayai boiro ,osha manguo, uza mtush ama ufungue kiosk ya mama mboga bora huji-support na family yako. Life ni hard tusiingie kwa crime huku mitaani let's be focused. All the best to you all.
#Hustle #TukoMESH , #TukoSorted
0
0
0