
Mi naitwa MC Virgo from bungoma western Kenya, mi ni msanii na pia all round mc, apart from kuimba na kuperform mi hufuga kuku, then mi hufanya charity works ,like kununulia wasichana sanitary pads, like last Valentine nimekuwa nakula na mastreet kids lunch the tuka-identify wale walitaka kurudi shule, tukawapeleka
0
0
0