
Mi naitwa Rajab, currently nafanya biz yangu ya Manguo South Sudan. Before nifike hapa nilikua nimefanya wera ya club for more than 4yrs until time corona ilikam ndio nikajiget huku niko sai... Challenges kwa kila job lazima zikue, like kama hizi area tunatoa stock yetu from Kenya na mwenye ako na hiyo nguvu anatoa direct from china.
Actually ndio nimeanza biz sai like 2months ago, nilianza na capital ya 10k na sai nimefika place naeza tuma stock ya 30-40k..
0
0
0