Mi naitwa Wangare natoka Narok. Mi nauza charcoal kwa mtaa yetu hiyo biz inalipa sana coz unabuy one sack charcoal at 400 then mi upima kwa mikebe kwa each sack naget profit ya 200 which ukifanya for almost 50 sacks hiyo ni 1k makes no essential hi mtaa sana
0
0
0