Mi naitwa Winnie Mwangi kutoka mtaa Wa Mathare. Hustle yangu ni kupika mandazi. Siku hizi Niko na challenge juu ya bei ya bidhaa, unga,mafuta,sukari ziko juu sana. Am happy for you Mesh coz mkiniboost na hii 3k nitachangamka angalau ninunue kastock kiasi.
0
0
0