
Mi najua app za kurecord voice ni mob... but for me hizi ndio najua
🎙️Dolby On – inacancel noise, perfect kwa demos
🎙️Easy Voice Recorder – light na inashika vocals clean
🎙️BandLab – iko na effects, plus unaweza collabo na watu online Ushatumia gani? Ama uko na secret app hutaki tujue?

0
0
0