Mi natafta side hustle. Niko campus Bureti TTI Mchana niko class but nafta atleast atakama ni Night shift nipate place naeza hustle Nimepitia NYS training na sai niko vocational training