
Mi nauza liquid soap na pia nauza dress camera za mtumba na ma sling bags za mtumba,, nikipata 10k naeza tumia ku boost biashara yangu hivi....5k nitaenda nichague dress na sling bags camera gikomba nijaze stock,,2k nitaenda nibuy ingredients za kutengeneza liquid soap.500/- nitatuumia ka fea kwa hio harakati 2000/- imebaki ntaeka kwa savings zangu za chama ndo next time nikilemewa kifedha na stock iko Chini naeza kopa loan kwa chama niongezee stock.




0
0
0