Mi ni Dankims hapa nafanya job ya kuuza fruits kama vile passions, ovacado,mangoes na tende pia but market ndio imekuwa balaa