Mi ni msee wa engineering,nimespecialize na kuunda moulds za tanks. Nataka kunza tanks and plastic products manufacturing but no Doo mob, anyone anaeza niconect na bazenga Ako na madoo nitashukuru